MAJIRA ni kipindi cha hali hewa kama vile upepo, mvua nyingi, jua kali, …
katika mwaka chini Rwanda hugawika katika majira yafuatayo
Majira ya masika ambayo hupatikana katika miezi ya Machi, Aprili na Mei.
Majiraya Kiangazi huwa katika Juni, Julai, Agosti.
Majira ya Vuli hupatikana katika Disemba, Januari na Februari.
Majira Kipupwe hupatikana katika Disemba , Oktoba na Novemba.